BONYEZA HAPA KWA MATUKIO YOTE, PICHA PAMOJA NA HABARI ZILIZOJIRI HUKO TUMSIFU THE GREAT: MASHINDANO YA INTERCOLLEGE LUSHOTO YAFANA, SHETA AFUNIKA MBAY...
Monday, June 4, 2012
Thursday, April 26, 2012
TIMU YA NETBALL YAIBUKA KIDEDEA

Katika safari ya kimichezo iliyofanyika jana huko korogwe, ikiwa na uwepo wa mheshimiwa raisi wa Tuso-sekuco, matokeo yalikuwa kama ifuatavyo
NETBALL
Timu ya wanawake ya netball iliibuka kidedea kwa kuwagonga akina dada wa korogwe girls magoli ya kutosha.katika mchezo huo uliokuwa wa kwanza...
Tuesday, April 24, 2012
KARIBUNI WANA SEKUCO

Natumia nafasi hii kuwaalika wana SEKUco wote katika blog yetu ya www.sekucohabari.blogspot.com iliyo chini ya serikali ya wanafunzi TUSO-SEKUco, wizara ya habari mawasiliano na usafirishaji.
Katika blog hiii tutakuwa tunahabarishana habari...
Subscribe to:
Posts (Atom)
DVD YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA SASA INAPATIKANA
