Blogroll

Thursday, April 26, 2012

TIMU YA NETBALL YAIBUKA KIDEDEA

Katika safari ya kimichezo iliyofanyika jana huko korogwe, ikiwa na uwepo wa mheshimiwa raisi wa Tuso-sekuco, matokeo yalikuwa kama ifuatavyo





Timu ya wanawake ya netball iliibuka kidedea kwa kuwagonga akina dada wa korogwe girls magoli ya kutosha.katika mchezo huo uliokuwa wa kwanza kuanzwa, wachezaji walijituma na hatimaye kutwaa ushindi huo kupitia kwa nyota wa mchezo huo madam LEMA (SECOND YEAR)


                                                              BASKETBALL

Katika hali isiyo ya kawaida wachezaji waliingia pungufu uwanjani kitu kilichowafanya kulemewa lakini walijitahidi kwa kutoka kwa range ya 44 kwa 52 dhidi ya korogwe united iliyokuwa na wachezaji wengi na wenye nguvu.


                                                                FOOTBALL
wadau walifurika wengi uwanjani kwa upande wa korogwe united, wakipewa support na chuo cha walimu korogwe. Mvua za magoli zilianza kuinyeshea timu ya sekuco na hatiamaye kufikisha idadi ya magoli 5 kwa 1 dhidi ya korogwe united, mfungaji wa timu ya sekuco alikuwa SIDE (FIRST YEAR)



 president wa tuso sekuco naye hakuwa nyuma







 ZIFUATAZO NI BAADHI YA PICHA MCHANGANYIKO, PIA WAWEZA TEMBELEA www.tumsifu-thegreat.blogspot.com

KWA PICHA ZAIDI CLICK PAGE YA MAKTABA YA PICHA PALE JUU  
AU BONYEZA HAPA    TUMSIFU THE GREAT

KAMA UNATAKA KUCOMENT CHOCHOTE, FUATA HATUA ZIFUATAZO
1. CLICK COMMENT
2.ANDIKA UJUMBE WAKO
3. SELECT COMMENT AS
4.CHAGUA NAME/URL
5.KWENYE NAME ANDIKA JINA LAKO
6.KWENYE URL PAACHE WAZI
7.THEN CLICK PUBLISH


2 comments:

  1. PATRICK KITIGWA SEKUCO CAPTIANApril 27, 2012 at 1:26 AM

    OF CURSE GAME ILIKUWA NZURI KWAUPANDE WA MPIRA WA KIKAPU.KWAKWELI KOROGWE KUNAVIPAJI.LAKINI PLAYER BADO WANAKOSA SUPPORT WADAU WOTE WA MKOA WA TANGA NA NJE YA MKOA SUPPORT MPIRA WA KIKAPU TUINUE MKOA WA TANGA NA TAIFA.

    ReplyDelete
  2. wachezaji wa kikapu sekuco wapo wengi ila malingo?football upangaji wa timu bado tatizo naona tutafute msimamizi wa mazoezi mpya na kuunda kamati kwa ajili ya kuboresha football ila tunaweza gemu tumefugwa ila tulicheza hii inaonyesha kuna matatizo kidogo ya kiufundi

    ReplyDelete

DVD YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA SASA INAPATIKANA

DVD YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA  SASA INAPATIKANA
 

Blogger news

;

Blogroll

About

Copyright © SEKUCO HABARI Design by BTDesigner | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by Blogger