Natumia nafasi hii kuwaalika wana SEKUco wote katika blog yetu ya www.sekucohabari.blogspot.com iliyo chini ya serikali ya wanafunzi TUSO-SEKUco, wizara ya habari mawasiliano na usafirishaji.
Katika blog hiii tutakuwa tunahabarishana habari mbalimbali za ndani na nje ya chuo tukizingatia kanuni, maadili na taratibu za uandishi wa habari
pia tukizingatia kanuni za serikali ya wanafunzi, na uongozi wa chuo kwa ujumla.
Ukizingatia kipindi hiki cha science and technology tumeona ni vema tukaitumia vema kuhabarishana kwa njia hii.
Pamoja na kuhabarishana habari mbalimbali za ndani ya chuo, pia tutakuwa tunawaletea dondoo za habari za nje ya chuo ambazo zitakuwa na manufaa kwetu na kwa jamii nzima ya SEKUco
Habari zitakazopewa kipao mbele ni kama vile habari za michezo yote chuoni hapa kama vile football, basketball, netball, na `INDOORS GAMES`
kama una lolote la kucomment kwa faida ya wengi, mwisho wa habari hii kuna buttom iliyoandikwa comment, comment and then after, select profile, waweza andika jina lako au vinginevyo then publish.
HATUTARUHUSU LUGHA YA MATUSI, VITISHO WALA AINA YOYOTE YA UKIUKWAJI WA MAADILI NDANI YA BLOG HII.
`ACQUARE KNOWLEDGE SERVE WITH COMPASION`
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFI SANA VIJANA, SASA HICHI NDO TUKICHUKUWA TUNAKITAKA, NATUMAINI MALAFIKI WOTE WA SEKUCO TUTAFAIDIKA, MASOMONI MEMA WADAU
ReplyDeleteKudadadadeki tupeni mambo vijana bIG UP
ReplyDeleteCONGRATS WAZIRI MSTAHIKI, PAMOJA NA SERIKALI KWA UJUMLA, SASA TUTAKITANGAZA CHUO CHETU VIZULI
ReplyDeleteDuuu!!!! secuko foot ball ni aibu,kipindi cha mrimi hayakuwa haya,iweje kwako DOBEYE?
ReplyDeletena wewe KAMOTE tuambiye kwa nini aibu yote hiiinatupata wakati wewe ni waziri mkongwe.
By
kasumuni.redio Tubadilike
nadhani ujumbe utakuwa umefika
ReplyDelete