KUTAKUWA NA SAFARI YA MECHI ZA NJE HUKO KOROGWE, KESHO TAREHE 26,4,2012, MASHINDANO YATAKAYOFANYIKA NI PAMOJA NA FOOTBALL, NETBALL, VOLLEYBALL. SAFARI ITAANZIA CHUONI SAA 3 ASUBUHI.
HATOSUBIRIWA MCHEZAJI YEYOTE KWA KUCHELEWA
DVD YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA SASA INAPATIKANA

0 comments:
Post a Comment