
Katika safari ya kimichezo iliyofanyika jana huko korogwe, ikiwa na uwepo wa mheshimiwa raisi wa Tuso-sekuco, matokeo yalikuwa kama ifuatavyo
NETBALL
Timu ya wanawake ya netball iliibuka kidedea kwa kuwagonga akina dada wa korogwe girls magoli ya kutosha.katika mchezo huo uliokuwa wa kwanza...